Siku kama ya leo mwaka 2006, mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Ferenc Puskas alifariki dunia akiwa na miaka 79.
Jambo labda hulijui, ile tunzo ya goli bora inayotolewaga na FIFA ambapo mwaka huu aliichukua Olivier Giroud inaitwa jina lake yaani tunzo ya goli bora inaitwa Puskas ambalo ni jina la jamaa huyu ambapo tunzo hiyo iliitwa hivyo ili kumpa heshima.
Post a Comment
Post a Comment