Klabu ya Bayern Munich inamtaka mshambuliaji wa klabu ya Arsenal, Olivier Giroud, mshambuliaji mwenye miaka 31.
Giroud amekuwa hana uhakika wa kucheza klabuni Arsenal toka alipofika Alexander Lacazette ambapo kwa msimu huu Giroud hajaanza mchezo hata mmoja wa ligi kuu Uingereza na huku akicheza kwa dakika 177 na huku akifanikiwa kufunga goli moja katika EPL na magoli mawili katika michuano ya Europa.
Post a Comment
Post a Comment