Aliyekuwa kocha wa Ivory Coast, Marc Wilots ameamua kuachana na timu hiyo mara baada ya kushindwa kuisaidia timu hiyo kufuzu kucheza kombe la dunia mwakani huko nchini Urusi.

Wilots ambaye ni raia wa Ubelgiji amekaa kwenye timu hiyo kwa miezi sita tu na ameona ni vyema kwake kujiuzulu kwa kushindwa kuisaidia timu hiyo. Lakini ameshindwa kuisaidia timu ya Ivory Coast mara baada ya kupokea kipigo kizito cha mabao 2-0 dhidi ya Morocco huku Ivory Coast ikiwa nyumbani.

Wilots aliwai kuisaidia timu ya taifa ya Ubelgiji kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 2014 iliyofanyika uko nchini Brazil.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.