Mchezaji bei ghali klabuni Manchester united, Paul Pogba amemtumia ujumbe wa kumtakia heri ya kuzaliwa nyota mwenzake wa zamani pindi wakiwa wote klabuni Juventus.
Katika mtandao wa Instagram, Paul Pogba ametuma picha ikimuonyesha nyota huyo akiwasiliana na Dybala kwa njia ya video.
Happy Birthday Dybala
Heri ya kuzaliwa Dybala
Post a Comment
Post a Comment