Nyota wa klabu ya Liverpool, Phillipe Coutinho bado anachanganya vichwa vya wakurugenzi na viongozi wa klabu ya Barcelona ambapo inaelezwa wanahitaji huduma ya mchezaji huyo kwa udi na uvumba.
Magazeti ya jijini Catalunya ambapo ndipo makazi ya klabu ya Barcelona yameripoti kwamba Barca ipo tayari kutoa kiasi cha euro milioni 145 ili kumnasa nyota huyo raia wa Brazili.
 
 
Post a Comment
Post a Comment