Kocha wa Chelsea, Antonio Conte ameadhibiwa na chama cha soka cha nchini Uingereza, FA mara baada ya tukio lililotokea katika mchezo dhidi ya Swansea na kocha huyo kutolewa nje na mwamuzi wa mchezo huo katika dakika ya 43.
Conte ataruhusiwa kurudi katika benchi la ufundi mpaka tarehe 5 ya mwezi desemba ambapo ataukosa mchezo dhidi ya Newcastle kesho jumamosi.
 
Post a Comment
Post a Comment