Showing posts with label Breaking news. Show all posts

zaidi ya watu 14 wameuwawa huko shia wakiwa katika kuabudu ashoura ambayo ni moja ya siku muhimu sana katika kalenda ya washia

Kimbunga kinachokadiriwa kuwa chenye nguvu zaidi kuwahi kuikumba haiti zaidi ya miaka 10 aina ya (caribean huricane) kimeikumba haiti leo ki...

Watu 52 wamerpotiwa kupoteza maisha katika machafuko huko ethiopia katika jimbo la iromya. mabomu ya machozi na risasi kutoka kwa polisi nd...

l eaders have hailed the vision of the late Israeli leader, Shimon Peres, as he is laid to rest days after his death at the age of 93. Isra...

shirika la usafirishaji wa anga nchini Tanzania (ATCL),Imepokea ndege ingine iliyonunuliwa kutoka canada. Hii ni ndege ya pili kutua baada ...

Magufuli awatumbua baadhi ya viongozi katika maafa ya kagera. Viongozi hao ambao walichaguliwa katika zoezi zima la ukusanyaji fedha za maa...

Tfda kigoma yakamata dawa zisizofaa zilizohifadhiwa katika maghara mbalimbali. Lakn TFDA haikuweza kuwaweka nguvuni wamiliki hao.

Kiongozi mkuu wa kundi la Boko Haram ambalo ni kundi lenye itikadi kali la kiislamu nchini Nigeria, Abubakar Shekau ambaye mwanzoni iliripot...

Katika hatua inayoonekana kujaribu kupunguza utesi na hisia kali zilizotokana na uchaguzi tata nchini Gabon,Rais Ali Bongo ,amesema uteuzi ...

Baraza la usalama la umoja wa mataifa linatarajiwa kufanya mkutano wa dharura kwenye mda wa saa chache zijazo kuzungumzia hali ya vita vina...

Kiongozi wa kundi la waasi la Sudan kusini , Riek Machar, ametoa wito kuwe na vuguvugu la kivita la kuipinga serikali la nchi hiyo. Awali b...

MAISHA ya Watanzania yameendelea kupotea katika ajali za barabarani baada ya ajali nyingine, iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Supe...

Watu wa kujitolea wanajipanga kufanya shughuli ya uokozi wakati ambapo boti lililobeba wakimbizi kijiandaa kutua kwenye bandari ya kisiwa c...

Wahamiaji 29 wamefariki wakisafiri kwa boti katika pwani ya Kafr al-Sheikh nchini Misri wakielekea nchi za ulaya. Boti hiyo iliyobeba w...

Watu zaidi ya 31 wameripotiwa kufa na wengine wengi kupotea baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kusababisha mafuriko uko pakis...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameagiza asilimia 60 ya mapato yanayopatikana katika mifuko ya afy...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameagiza asilimia 60 ya mapato yanayopatikana katika mifuko ya afy...

Kocha wa Brazil Carlos Dunga ,amefukuzwa rasmi kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya Brazil baada ya timu hiyk kupata matokeo mabaya. ...

Timu ya taifa ya Brazili imetupwa nje baada ya kufungwa 1-0 na peru Bao la utata dhidi ya Peru kwenye Mechi yao ya mwisho ya Kundi B h...

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.