Timu ya taifa ya Brazili imetupwa nje baada ya kufungwa 1-0 na peru
Bao la utata dhidi ya Peru kwenye Mechi yao ya mwisho ya Kundi B huku timu za Peru na Ecuador zikifanikiwa kutinga hatua ya Robo fainali. Hii ni mara ya kwanza tangu 1987 kwa Brazil kushindwa kuvuka hatua ya makundi ya mashindano haya. Bao la Peru lilifungwa na Raul Ruidiaz, mfungaji akitumia mkono kufunga bao na kuleta utata mkubwa.
Leo Jumanne Mexico inacheza na Venezuela huku Uruguay ikichuana na Jamaica
Leo Jumanne Mexico inacheza na Venezuela huku Uruguay ikichuana na Jamaica
Post a Comment
Post a Comment