Kocha wa Brazil Carlos Dunga,amefukuzwa rasmi kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya Brazil baada ya timu hiyk kupata matokeo mabaya.
Ikumbukwe juzi Brazil iliaga mashindanoya copa America baada ya kukubali kipigo cha bao moja nunge kutoka kwa peru..
kipigo hicho kilizidi kupalia makaa ya mawe kwa brazili ambayo kwa muda imekuwa haipati matokeo mazuri
Post a Comment
Post a Comment