Wahamiaji 29 wamefariki wakisafiri kwa boti katika pwani ya Kafr al-Sheikh nchini Misri wakielekea nchi za ulaya.
Boti hiyo iliyobeba wahamiaji 600 ilizama na kuua watu 29 huku 150 wakiokolewa
Kumekuwa na mfululizo wa wahamiaji wengi kusafiri kutoka Afrika na kuelekea mataifa ya Ulaya
Post a Comment
Post a Comment