Magufuli awatumbua baadhi ya viongozi katika maafa ya kagera.

Viongozi hao ambao walichaguliwa katika zoezi zima la ukusanyaji fedha za maafa yaliyotokea siku chache zilizopita huko kagera,leo hii wametumbuliwa rasmi na mheshimiwa joseph magufuli baada ya kufungua akaunti nyingine nje ya akaunti halali ya makusanyo.

ikumbukwe hapo awali mheshimiwa baada ya yeye kuahirisha safari ya kwenda Zambia, alinukuriwa akisema kuwa mtu yeyote ambaye atatumia vibaya fedha za maafa a kagera,hata mfumbia macho .

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.