shirika la usafirishaji wa anga nchini Tanzania (ATCL),Imepokea ndege ingine iliyonunuliwa kutoka canada.
Hii ni ndege ya pili kutua baada ile ya kwanza kutua siku kadhaa zilizopita.
Air Tanzania inatajiriwa kuanza kazi muda mfupi kuanzia sasa. Sasa ni muda wetu watanzania kufurahia na kutumia usafiri huo kwa maana utaongeza mapato na kutanua uchumi wa nchi yetu.
Post a Comment
Post a Comment