Watu zaidi ya 31 wameripotiwa kufa na wengine wengi kupotea baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kusababisha mafuriko uko pakistani katika kijijicha Khyber Pakhtunkhwa mpakani kabisa mwa afghantani mapema jumapli hii..
Nyumba za ibada( misikiti), makazi ya watu pamoja na maeneo ya jeshi yameripotiwa kuharibiwa vibaya na adha hiyo.
Kamishna OSAMA AHMED ameripoti na kusema "watu wengi zaidi ya 31 wamefariki dunia na wengine wengi wamepotea,inaezekana wakawa wamepelekwa na maji afghanstani"
itaendelea.....
Post a Comment
Post a Comment