Wanasayansi wa China wapo katika harakati za mwisho kabisa za kukamilisha ujenzi wa darubini kubwa kabisa duniani
Ukubwa wa darubuni hii ni sawa na kuunanisha viwanja 30 vya mpira.Darubini hii imeikosti China dola za kimarekani milioni 180/$180.
Darubini hii kipenyo chenye ukubwa wa mita 500. Kukamilika kwa darubini hii,kutawezesha wanasayansi kuendelea kutafuta ukweli juu ya asili ya ulimwngu na asili ya mwanadamu kiujumla
Post a Comment
Post a Comment