Kwasasa,rapa wa hip hop Tanzania kalapina,ameibuka na kusema kuwa rapa wazaman wa mbele "2 PAC" a.k.a makaveli ndiye aliyemshawishi kufanya rap...
Awali ya hapo kalapina alikuwa anapenda kudance(break dance) na alishawahi kushinda tuzo moja hapo nyuma, haya apa maneno take.
"Kwanza kabisa brake dance ilianza kuja kabla ya rap music, mi mwenyewe nilikuwa brake dancer mmoja mkali tu DSM hapa, na nishawahi kupata ubingwa wa mkoa mwaka 1988, kwa hiyo rap music ilivyoanza kupiga hodi Pwani ya Afrika Mashariki, kiukweli makundi kama NWA, RUN DMC ndio waliniinspire sana nikawa napagawa sana, na alivyokuja kuibuka 2Pac miaka ya 91 92, 2Pac ndo akanipagawisha zaidi nikaona na mimi nahitaji kuwa artist", alisema Kalapina.
Post a Comment
Post a Comment