Waislamu duniani waungana kupinga vikali mauaji ya waislamu wenzao yaliyofanyika karibu na kaburi la mtume mohammad (sw).
wakitenga mbali tofauti zao,viongozi wa dunia,viongozi wa siasa,makundi mbalimbali pamoja na washika dau mbalimbali,walionesha kuchukizwa baada ya bomu la kujitoa muhanga kuua watu zaidi ya wanne siku ya jumanne karibu na kaburi la mohammad (sw).
Tukio hilo lilifuata baada ya hapo jumatatu kuripotiwa matukio mawili ya kigaidi na mji wa jeddah na qatif
Msemaji wa wizara ya mambo ya ndani ya saudi arabia alisema ni tukio baya na lisilo elezeka kwa sababu halikujali utu,sehemu na RAIA wema
Post a Comment
Post a Comment