Kocha wa zamani wa Chelsea ya ungereza mreno José mourinho ambaye mapema mwezi uliopita alitambulishwa kuwa mrithi wa mdachi Luis van gaal Leo asubuhi alifanya kikao chake cha kwanza na waandishi wa habari akiwa old Trafford.
Kocha Jose Mourinho amefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari tangu atue Manchester United na kusema kuwa klabu hiyo imekuwa ikichechemea tangu astaafu kocha Sir Alex Ferguson.

Teari mourinho ameshasajir wachezaj wawili akiwemo ibra cadabra ili kukipa nguvu kikosi chake
Post a Comment
Post a Comment