Kuelekea michezo ya mwisho ya hatua ya makundi katika klabu bingwa Ulaya, kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone amesema kikubwa anachokiwaza kwa sasa ni kuifunga Chelsea inayoongoza kundi C ambalo ndio kundi moja na jengine.

"kikubwa mbele yetu kwa sasa ni kuifunga Chelsea, siwazii sana kushinda kwa Roma ama kupata suluhu" alisema Simeone.

Chelsea inaongoza kundi ikiwa tayari ishafuzu huku nafasi ya pili ikishikwa na AS Roma na Atletico Madrid ambapo ili Atletico afuzu kucheza hatua ya 16 bora basi inabidi aifunge Chelsea na huku AS Roma afungwe.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.