Aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Cameroon, Hugo Broos ametimuliwa kibarua cha kuifundisha timu hiyo.
Broos, 65 ni raia wa Ubelgiji akiwa amewai kuzifundisha klabu za ligi kuu nchini Ubelgiji kama Anderlecht na Clubbe Brugge.

Post a Comment
Post a Comment