Timu ya taifa ya Tanzania maarufu kama Taifa Stars jioni ya leo itamenyana na timu ya taifa ya Benin katika mchezo wa kirafiki huko nchini Benin ambapo mchezo huo utachezwa saa 12:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Mchezo huu unaweza kuwa na faida kwa timu ya Taifa Stars ambapo mchezo huo wa kirafiki upo kwenye kalenda ya FIFA kwa maana hiyo, kama ikishinda inaweza kupandishwa kwenye viwango vya FIFA.

Mchezo huo utarushwa 'live' na king'amuzi cha Azam Tv.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.