Ni mwisho wa wiki nyengine kukiwa na mwendelezo wa michezo ya kimataifa ambapo mingine ni ya kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka kesho na mingine ni ya kirafiki. Wababe wakiendelea kujinoa kujiweka sawa na wengine kupanda katika viwango vya FIFA.
Katika wasaa wa kubeti leo, nakuletea michezo mikali na utabiri wa wababe hao walipowai kukutana katika historia.
1. Zambia 2 vs 2 Cameroon
Over 2.5
Ni mchezo mgumu, ambapo unahusisha timu za kundi moja katika kufuzu kwa kombe la dunia. Lolote linaweza kutokea hapa ingawa pia historia huwa ina nguvu lakini itategemea vipi ni nani aliyekamia na kutumia makosa ya timu pinzani kujinufaisha.
>Michezo 5 iliyopita
Zambia 2 vs 2 Cameroon
Cameroon 5 vs 1 Zambia
Cameroon 3 vs 2 Zambia
Cameroon 1 vs 1 Zambia
Zambia 0 vs 0 Cameroon
2. Tunisia 2 vs 1 Libya
Over 2.5
Hapa historia itachukua nafasi na ina nguvu sana, wote wanatokea kaskazini mwa jangwa la sahara, mechi itakuwa ngumu kutokana na kujuana kwao lakini mwisho wa siku karata itadondokea kwa Tunisia kutokana na rekodi yake ya kushinda ikiwa nyumbani.
>Mechi 5 zilizopita
Tunisia 2 vs 0 Libya
Tunisia 0 vs 1 Libya
Tunisia 1 vs 0 Libya
Libya 1 vs 0 Tunisia
Tunisia 0 vs 0 Libya
3. Ivory Coast 2 vs 1 Morocco
Under 2.5
Tembo wa Afrika wana nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu ambapo Morocco imekuwa ikifanya mchezo baina ya timu hizo kuwa mkali.
>Michezo 5 iliyopita
Ivory Coast 1 vs 1 Morocco
Morocco 0 vs 1 Ivory Coast
Ivory Coast 0 vs 0 Morocco
Morocco 1 vs 0 Ivory Coast
Ivory Coast 0 vs 0 Morocco
4. Hispania 3 vs 0 Costa Rica
Over 2.5
Hispania haijakutana sana na Costa Rica ambapo imewai kukutana mara mbili tu, ambapo katika michezo hiyo, mmoja imeshinda na nyengine walisuluhu.
(Mchezo huu utaurushwa humu mubashara au mzungu anasema 'live')
>Mechi zilizopita
Costa Rica 2 vs 2 Hispania
Hispania 2 vs 1 Costa Rica

5. Urusi 1 vs 3 Argentina
Over 3.5
Baada ya mchezo kati ya Argentina dhidi ya Ecuador, Argentina ikiongozwa na Lionel Messi ambaye alidhihirisha ubora wake kwa kuivusha timu hiyo kucheza kombe la dunia mwakani. Leo itacheza na mwenyeji wa mashindano hayo mchezo wa kirafiki ambapo katika historia timu hizo zimekutana mara moja tu na Argentina kushinda mabao 3-2 dhidi ya Urusi.
(Mchezo huu tutauonyesha mubashara humuhumu katika blog ya mitaaniforum.blogspot.com)

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.