Klabu ya Atletico Madrid iliyo chini ya kocha, Diego Simeone inamfukuzia mshambuliaji wa Napoli ya nchini Italia, Dries Mertens.

Gazeti la AS la nchini Hispania linadai kocha Simeone anapendezwa sana na mchezaji huyo raia wa Ubelgiji ambapo jana katika mchezo dhidi ya Mexico alifanikiwa kutengeneza magoli mawili kati ya matatu yaliyofungwa na timu yake.

Mertens ambaye ana mkataba na klabu yake ya Napoli unaoisha mwaka 2022 ingawa itakapofika mwakani thamani yake itakuwa ni Euro milioni 30. Mertens mwenye miaka 30 mpaka sasa katika michezo 18 ya kiushindani amefanikiwa kufunga magoli 12 na kutengeneza mengine 7.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.