Heung-Min Son ashinda tena tunzo ya mchezaji bora kutoka Asia akiwabwaga Shinji Kagawa na Mooy.

Son ambaye anaichezea klabu ya Tottenham amekuwa na msimu mzuri akiwa mfungaji bora wa muda wote nchini kwake Korea na kuisaidia vyema klabu yake ya Tottenham kuwa na msimu mzuri na kumaliza nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu Uingereza.

Hii ni mara ya pili kwa winga huyo mara ingawa mwaka uliopita tunzo hiyo kubebwa na mshambuliji wa klabu ya Leicester city, Shinji Okazaki na sasa Son amefanikiwa kuirudisha tunzo hiyo katika ufalme wake.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.