Klabu ya Everton imemtangaza kocha Sam Allardayce mwenye jina la utani la Big Sam kuwa kocha wao mpya wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Ronald Koeman.
Allardayce anaingia kwenye klabu mara baada ya kuachana na kazi ya kuifundisha timu ya taifa ya Uingereza na kupata kashfa huko ndipo akaamua kuachia ngazi.
Sam Allardayce alishawai kuzifundisha klabu kama Newcastle, Bolton Wanderers, Sunderland na Crystal Palace.
Post a Comment
Post a Comment