Mara baada ya ushindi jana wa klabu ya Manchester united dhidi ya Watford wa 4-2, kocha wa Manchester united alifanyiwa mahojiano kuhusu kiwango cha mshambuliaji wake Romelu Lukaku aliyesajiliwa kwa paundi milioni 75 ambaye amefululiza kutokufunga goli katika michezo takribani saba ya ligi kuu.
Jose Mourinho alijibu kwa kifupi "nadhani anatakiwa kubadilishiwa viatu"
Lukaku alifululiza katika mechi saba za mwanzo akiwa anafunga magoli na sasa katimiza mechi saba bila kufunga goli.
Post a Comment
Post a Comment