Miaka kibao imepita, tarehe kama ya leo miaka 44 iliyopita alizaliwa nyota wa Manchester united ambaye kwa sasa anafanya kazi ya uchambuzi wa soka, Ryan Giggs.
Kuna mengi tunayakumbuka juu yake haswa lile goli alilolifunga kwa kuchukua kijiji.
Heri ya kuzaliwa Giggs.
Post a Comment
Post a Comment