Fiston 'Festo' Kayembe Kanku amesajiliwa rasmi na klabu ya Yanga Africa leo ambapo amepewa mkataba wa miaka miwili ambapo alifika katika kikosi cha Yanga Africa kama mchezaji wa majaribio ambapo alikuwa chini ya kocha mkuu, George Lwandamina.
Festo ambaye ni mlinzi wa kati ametokea kwenye klabu ya nchini Kongo kwenye klabu ya Balende FC ambapo amesaini Yanga mkataba wa miaka miwili.
Post a Comment
Post a Comment