Klabu ya Manchester united leo imepata ushindi mwengine katika uwanja wake wa Old Trafford ambapo kwa msimu huu haijapoteza mchezo wowote ikiwa uwanjani hapo.
Alikuwa ni winga wa kushoto ambaye huwa anacheza kama mlinzi wa pembeni, Ashley Young ndiye aliyeifungia goli la pekee klabu yake akiubabatiza mpira huo kwa mlinzi wa Brighton, Dunk na mpira kuingia wavuni huku likihesabika ni la kujifunga.
Kwa matokeo hayo yanaifanya Man utd kupunguza pengo la alama 8 lililokuwa mwanzo na sasa kuwa alama 5.
Matokeo mengine EPL;
West Ham 1 vs 1 Leicester
Tottenham 1 vs 1 West Brom
Newcastle 0 vs 3 Watford
Crystal palace 1 vs 1 Stoke city
Swansea 0 vs 0 AFC Bournemouth
Liverpool 1 vs 1 Chelsea
Post a Comment
Post a Comment