Dominic Solanke amepata nafasi katika mchezo wa leo dhidi ya Stoke city usiku wa leo huku mfungaji bora mpaka sasa katika ligi kuu Uingereza, Mohammed Salah akiwa benchi.

Liverpool inasafiri mpaka jiji la Stoke katika uwanja wa Bet365 ambapo huko watamenyana na Mark Hughes, kocha wa klabu ya Stoke city ambapo kwa upande wao Peter Crouch ambaye ametoka kusaini mkataba mpya klabuni hapo ataanza katika kikosi cha kwanza.

Mchezo huo utachezwa saa 23:00.

Michezo mingine leo EPL;
Chelsea vs Swansea (saa 22:45)
Bournemouth vs Burnley (saa 22:45)
Arsenal vs Huddersfield (saa 22:45)
Manchester city vs Southampton (saa 23:00)
Everton vs West Ham (saa 23:00)

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.