Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo inaripotiwa amegoma kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwa mchezaji wa klabu hiyo.
Ronaldo, 32 ambaye siku kadhaa ametoka kushuhudia akipata mtoto wa nne Aliana Martina inaripotiwa hana furaha tena ndani ya klabu hiyo na ashamwambia rais wa timu hiyo Frorentino Perez kwamba hatazamii kusaini mkataba mpya klabuni hapo.
Ambapo mchezaji huyo amekuwa hana msimu mzuri akiwa amepiga mashuti 48 na kufunga goli 1 katika ngazi ya ligi kuu Hispania.
Post a Comment
Post a Comment