Timu ya taifa ya Senegal imefanikiwa rasmi kufuzu kucheza kombe la dunia mwakani uko nchini Urusi mara baada ya kuigaraghaza tena timu ya Afrika Kusini maarufu kama Bafana Bafana kwa mabao 2-1.
Senegal ndio walikuwa wa kwanza kushinda kwa kupitia Nguette ambayo baadae kidogo, Bafana ikasawizishwa kwa kupitia Tau.
Kabla ya baadae, tena Mbodji kuifungia Senegal na matokeo kuwa 2-1 mpaka mpira unaisha.
Hongereni Senegal.
Post a Comment
Post a Comment