Msemaji wa chama cha soka nchini Tanzania (TFF), Alfred Lucas amemtangaza atakayekuwa kocha wa timu ya Kilimanjaro Stars itakayoshiriki michuano ya Cecafa Chalenji Cup itakayofanyika nchini Kenya inayotegemewa kuanza mwezi desemba.

Ammy Kinje ametajwa kuwa kocha wa timu hiyo akiwa na alama A katika mafunzo ya ukocha aliyoyapatia barani Ulaya.

Kocha huyo alishawai kuwa katika benchi la ufundi la klabu ya Hull city ya nchini Uingereza.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.