Nyota wa klabu ya Chelsea raia wa Nigeria, Victor Moses amechaguliwa kuwa mchezaji bora nchini Nigeria.
Moses ameisaidia Nigeria kufuzu kucheza michuano ya kombe la dunia mwaka 2018 huko nchini Urusi, lakini pia aliisaidia klabu yake ya Chelsea kutwaa taji la ligi kuu Uingereza na kuifikisha fainali ya kombe la FA.
Post a Comment
Post a Comment