Klabu ya Borrusia Dortmund jana ilipotez mchezo wake mwengine dhidi ya Stuttgart kwa 2-1, huku ikimuacha mshambuliaji Pierre Aubameyang.
Akolo alianza kuifungia Stuttgart kabla ya Andre Schrulle wa Dortmund kukosa penati na Phillip kumalizia mpira uliokolewa na kufanya matokeo kuwa 1-1.
Brekalo wa Stuttgart akawafanya mashabiki wa Dortmund wapooze mara baada ya kuongeza na matokeo kuwa Stuttgart 2-1 Dortmund.
Lakini Dortmund ilipoteza mchezo huo mara baada ya kumkosa mshambuliaji wake Pierre Aubameyang aliyeadhabiwa na klabu hiyo mara baada ya utovu wa nidhamu alioonyesha nyota huyo.
Post a Comment
Post a Comment