Ratiba ya leo jumamosi ya ligi kuu Ujerumani maarufu kama Bundesliga .
Ligi hiyo ipo katika wiki ya 12 ambapo ilianza jana mara baada ya kusimama kupisha ratiba ya FIFA ambapo katika mchezo wa jana Borussia Dortmund inayoshika nafasi ya tatu ikiwa nyuma ya Bayern Munich inayoshika nafasi ya kwanza, na Reb Bull Leipzig.

Ratiba kamili, leo;
Bayern Munich vs Augsburg
Hoffenheim vs Frankfurt
Leverkusen vs Leipzig
Mainz vs Fc Koln
Wolfburg vs Freiburg
Bayern Munich vs Augsburg
Hoffenheim vs Frankfurt
Leverkusen vs Leipzig
Mainz vs Fc Koln
Wolfburg vs Freiburg
Hertha vs M'glabach
NB; Michezo yote itachezwa saa 17:30.
NB; Michezo yote itachezwa saa 17:30.
kasoro ya Herha vs M'glabach itakayochezwa saa 20:30.
Post a Comment
Post a Comment