Ile ligi kuu yenye ushindani duniani, ligi kuu Uingereza inatimua vumbi leo timu zikishuka dimbani mara baada ya wiki ya michezo ya kimataifa. Huku michezo ya kutazamwa sana na yenye ushindani mkubwa ikiwa ni wababe wa jiji la London, Arsenal itakapomenyana na majirani zake katika jiji hilo, Tottenham Hotspurs na mchezo mwengine ukiwa wa Everton itakapomkaribisha Crystal Palace, timu zote zikiwa na msimu mbovu.

Ratiba kamili, ipo hivi;
Arsenal vs Tottenham (saa 15:30)
Bournemouth vs Huddersfield (saa 18:00)
Burnley vs Swansea (saa 18:00)
Crystal Palace vs Everton (saa 18:00)
Leicester vs Man city (saa 18:00)
Liverpool vs Southampton (saa 18:00)
West Bromwich vs Chelsea (18:00)
Man utd vs Newcastle (saa 20:45)

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.