Ni wiki nyengine yenye pilikapilika michezoni, mara baada ya kuukosa utamu wa ligi kuu Tanzania bara, sasa utamu huo umerudi tena. Huku mchezo utakaotazamwa wiki hii utakuwa Tanzania Prisons dhidi ya watoto wa kariakoo, Simba SC mchezo utakaochezwa mkoani Mbeya. Je mnyama atajichimbia kileleni? Tusubiri tuone.
Ratiba kamili ya ligi kuu, leo jioni;
Tanz. Prisons vs Simba SC
Majimaji vs Mbao FC
Stand United vs Mwadui
Ruvu Shooting vs Ndanda
NB; Michezo yote itachezwa saa 16:00 jioni
Post a Comment
Post a Comment