Klabu ya Singida United jioni ya leo imefanikiwa kuiua Lipuli FC katika uwanja wa Namfua uko mkoani Singida kwa goli moja lililoipatia alama 3 muhimu kwa klabu hiyo.
Singida united baada ya kushinda mchezo huo imepanda kutoka nafasi ya 6 mpaka nafasi ya 5 ikiwa na alama 17, alama 2 nyuma ya Simba Sc iliyo kileleni.
Post a Comment
Post a Comment