Kocha wa Manchester united raia wa Ureno, Jose Mourinho amethibitisha wachezaji waliokuwa majeruhi, wameshapona na tayari kucheza mchezo wa ligi kuu mwisho wa wiki hii.
Man utd ina mchezo dhidi ya Newcastle na Mourinho alisema "Paul (Pogba), Zlatan na Rojo wapo tayari na watakuwa katika mchezo dhidi ya Newcastle"
Man utd imepoteza michezo miwili huku ikishika nafasi ya pili ikiwa nyuma ya Man city aliye kileleni kwa tofauti ya alama 8.
Post a Comment
Post a Comment