Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro amesema yeye pamoja na interpols bado wanamtafuta kwa hali mchungaji wa kanisa LA ufufuo na uzima,Gwajima ili ajibu tuhuma zake
Amesema bado wanamtafuta na ameomba ushirikiano na vyombo vya habari
Post a Comment
Post a Comment