Mpiga masumbwi wa Tanzania, Ibrahim Class amefanikiwa kumtungua mpiga masumbwi kutoka Afrika Kusini, Koos Sibiya katika pambano la kugombania mkanda wa GBC kwa ngazi ya Light.

Jana katika uwanja wa Uhuru, Ibrahim alimshinda raia uyo wa Afrika Kusini kwa alama za waamuzi wa pembeni ambapo wote walimpa ushindi Ibrahim ambapo katika pambano hilo lililoanza kwa kuwa sawa kwa wapiganaji wote wakipigana kwa kupokezana kabla kufikia katika raundi ya nane ambapo hapo Ibrahim akamtandika ngumi moja mpinzani wake na kumpasua usoni.

Kwa ushindi huo ambapo ulihudhuriwa na Waziri wa michezo, Harryson Mwakyembe unamfanya Ibrahim kutetea ubingwa wake na kumfanya afikishe ushindi wa michezo 21 kati ya 25 aliyocheza huku akipoteza mapambano manne.

(Katika picha; mkono ww kulia ndiye Ibrahim Class)

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.