Klabu ya Arsenal jioni ya leo itashuka uwanjani ikikaribishwa na klabu ya Burnley pale Turf Moor katika mchezo wa raundi ya 13. Ambapo mchezo huo utachezwa saa 17:00.
Arsenal itataka kushinda mchezo huu ili ijiweke sawa na kurudi katika mbio za kuwania ubingwa ambapo kaachwa alama 12 na aliye kileleni ambaye ni Manchester city.
Arsenal amekuwa na rekodi nzuri mbele ya Burnley ambapo katika michezo kumi iliyopita Arsenal kashinda 8 na kufungwa 1 huku suluhu ikiwa ni moja.
Michezo mingine leo EPL;
Southampton vs Everton (saa 16:30)
Huddersfield vs Man city (saa 19:00)
Post a Comment
Post a Comment