Huu ndio mchezo unaobeba utamu usiku wa leo, ni mchezo muhimu kwa timu zote pale katika ligi kuu Ufaransa maarufu kama Ligue 1.

Katika uwanja wa Stade Louis II huko Ufaransa utachezwa mchezo mtamu wa kukatana shoka ambapo AS Monaco, mabingwa watetezi wa taji hilo watakapomenyana na klabu matajiri wa jiji la Paris, Paris St.Germain (PSG).

Kylian Mbappe kurudi alipotokea. Mchezo huu utamfanya kinda bora kwa sasa, Kylian Mbappe arudi kwenye timu aliyotokea kabla ya kuungana na PSG.

Monaco amekuwa hana msimu mzuri baada ya kuondolewa katika klabu bingwa Ulaya ikimaliza nafasi ya nne katika kundi lake ambapo mwenzake PSG akitoka kuifunga Celtic magoli 7-1 katika michuano hiyo.

Michezo mingine katika Ligue 1;
Nice vs Lyon (saa 17:00)
Marseille vs Guingamp (saa 19:00)

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.