Klabu ya Arsenal imepata ushindi dhidi ya klabu ya Burnley jioni hii, ushindi wa 1-0 imeupata leo katika dakika za 90+4' kwa goli lililofungwa na Alexis Sanchez kwa mkwaju wa penati.
Kwa ushindi huo unaifanya Arsenal ipande kutoka nafasi ya tano mpaka nafasi ya nne, akiwa na alama 25 huku akiachwa alama moja na Chelsea aliye nafasi ya tatu ikiwa na alama 26.
Matokeo mengine EPL;
Southampton 4-1 Everton
Post a Comment
Post a Comment