Aliyewai kuwa kocha wa klabu za Crystal Palace na Newcastle, Alan Pardew amekiri kuanza mazungumzo na klabu ya West Bromwich ili akaifundishe klabu hiyo.
Pardew ambaye aliwai kufanya vizuri akiwa na klabu ya Newcastle anatakiwa na klabu hiyo ambayo muda mfupi ilitoka kumtimua kocha wake Tony Pulis.
"ni ofa nzuri kuipata, West Brom ni klabu nzuri na ni furaha kuona natakiwa kuwa pale" alisema Pardew.
Post a Comment
Post a Comment