Baada ya kumuangaika kwa muda mrefu, sasa Arsenal wanataka kumaliza kazi mapema kwa kiungo wa AS Monaco, Thomas Lemar.
Arsenal inaripotiwa imeandaa donge nono ili kuishawishi Monaco imuuze kiungo huyo.
Arsenal imekuwa haina uhakika wa nyota wake Mesut Ozil na Alexis Sanchez kama wataendelea kubaki klabuni hapo na inataka kumtumia Thomas Lemar kama mchezaji mbadala kwa Mesut Ozil anayetajwa kuwaniwa na klabu kadhaa ikiwemo Barcelona.
Post a Comment
Post a Comment