Inaripotiwa kiungo na mshambuliaji wa klabu inayoshiriki ligi kuu Tanzania Bara Simba Sc, Shiza Kichuya amegoma kusaini mkataba mpya klabuni hapo ambapo inaelezwa kuna ofa kutoka kwa klabu ya nchini Misri, Al Ittihad/Al Masry FC ambapo inaelezwa klabu hiyo ipo tayari kutoa kiasi cha shilingi milioni 170 za Tanzania.
Kichuya ana mkataba na Simba, mkataba unaomweka hapo mpaka kipindi cha kiangazi cha mwaka 2018.
Post a Comment
Post a Comment