Mashindano ya kombe la Chalenji imeanza kunukia nchini Kenya ambapo ndipo imepangwa ifanyike mwaka huu.
Kuonyesha kwamba michuano ipo mlangoni, kumepangwa makundi ya michuano hiyo itakayoshirikisha klabu 10 huku Libya na Zimbabwe zikiwa kama timu shirikishi.
Michuano hiyo ambayo ilitakiwa ianze tarehe 25 ya mwezi huu ilisogezwa mbele na kutangazwa kufanyika desemba 3 mwaka huu.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.