Timu ya taifa ya Croatia imefanikiwa kufuzu kucheza kombe la dunia la mwakani uko nchini Urusi mara baada ya kuibuka mshindi wa jumla.

Croatia yenye nyota kadhaa kama Luca Modrid wa Real Madrid, Ivan Rakitic wa Barcelona, Dejan Lovren wa Liverpool na Ivan Perisic wa Inter Milan imefanikiwa kumaliza mchezo dhidi ya Ugiriki ambapo mchezo wa leo baina ya timu hizo mbili uliisha kwa sare ya kutokufungana ingawa kwa matokeo ya mchezo wa kwanza ambapo Croatia ilishinda 4-1 basi hapo ni kwamba hakuna kilichobaki na Croatia kufuzu kucheza kombe la dunia.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.