Timu ya taifa ya Switzerland nayo imefuzu kucheza kombe la dunia mwakani huko Urusi.
Switzerland yenye nyota kama Granit Xhaka anayecheza timu ya klabu ya Arsenal na Xhordan Xhaqiri anayeichezea Stoke city wameisaidia timu hiyo kufuzu ikifuatiwa na Croatia iliyofuzu kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-1.
Switzerland ilifuzu mara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Ireland Kaskazini ambapo katika mchezo wa jana mchezo baina ya timu hizo uliisha kwa sare ya 0-0 ambapo Ireland Kaskazini ilikuwa nyumbani wakati katika mchezo wa kwanza Switzerland ilishinda 1-0.
Post a Comment
Post a Comment